Thursday, August 21, 2008


Nchi kamili au

Kipande cha nchi

Kamili ya Tanzania?


HAIPOTESIA inayosema kwamba “Zanzibari ni nchi kamili”, kwa maana kwamba “Tanzania sio nchi kamili”, imeibuka tena hivi karibuni, na mara hii kutoka kwenye vinywa vya watu wasiotarajiwa kusema hivyo hata kidogo, kwani wasemaji hawa wote, ama moja kwa moja au kwa njia ya mzunguko, ni watu waliokula kiapo cha utii kwa Serikali pekee yenye kofia ya mamlaka turufu juu ya uraia katika nchi iitwayo Tanzania.

Kimsingi, makuwadi wa haipotesia (hypothesis) hii, wanatoa sababu kubwa tano katika jitihada za kuhalalisha msimamo wao. Wanadai kwamba Zanzibar ina wimbo wake wa taifa, bendera yake ya taifa, jeshi lake la mgambo, Baraza lake la Kutunga Sheria, na Serikali yake ya ndani.

Bofya na endelea>>>>>



No comments: