Tuesday, September 09, 2008

Jinsi ya kumnasa mume

mwenye kimada - 4


Nafurahia kukutana tena nawe siku ya leo tukiwa tunamalizia sehemu ndogo tuliyobakiza katika muendelezo huu uliotuchukua zaidi ya wiki nne sasa.

Hapa leo naangalia namna nyingine za kupata uthibitisho yakinifu kuwa mwanamme wako ana mwanamke nje na jinsi ambavyo wewe unaweza kumtia hatiani.

Unajua wakati mwingine mambo haya yanayonifanya nijiulize maswali mengi sana ambayo mara nyingi majibu yake yanakuwa magumu kwangu kuyapata.

Pengine ni jambo la kawaida kwa mwanamme kuwasaliti wake zao, lakini kwangu mimi nashangaa kwa nini wanaume hawa hawataki kujifunza kwa kuangalia historia na hali halisi.

Bofya na endelea>>>>>


No comments: