Tuesday, September 09, 2008


Na Makongoro Oging’

MKAZI mmoja wa Chalinze wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja hivi karibuni katika kanisa la Mikochoni B Assemlies of God alibambwa na mwandishi wetu akitoa ushuhuda wa jinsi anavyowageuza watu kuwa misukule...



No comments: