Tuesday, September 02, 2008

Google wazindua

”brauza” yao

Inaitwa ”Chrome”





Nembo ya Chrome


Google wamezindua brauza "browser" yao itakayoitwa Chrome. Chrome itaanza kwa majaribio (beta version). Lengo la Google ni kushindana na Microsoft Explorer, Mozilla, Firefox, Safari, na Opera.

Zaidi bofya hapa


Unaweza kulifyonza toleo la majaribio



No comments: