Miaka mitatu Ikulu:
Rais anapozungukwa
na walevi wa madaraka

MIAKA mitatu si haba kwa Rais wa nchi kuwa madarakani. Rais Jakaya Kikwete anatimiza miaka mitatu akiwa Ikulu ya Magogoni. Huu ni wakati mwingine tena wa kufanya tathmini ya utendaji wa uongozi wa Awamu ya Nne. Kupitia makala kadhaa zijazo, nitafanya kazi hiyo kwa kutoa mchango wangu binafsi wa fikra.
Naam. Kama kiongozi Kikwete anastahili kupongezwa kwa kutimiza miaka mitatu Ikulu. Ni dhahiri kuwa haijapata kutokea katika historia ya nchi yetu kuwapo kwa awamu ya uongozi iliyoingia madarakani na kuikuta 'mizoga' mingi kwenye makabati ya Ikulu; kwa maana ya kashfa lukuki. Wakati huo huo 'mizoga' mipya pia inajitokeza katika uongozi wake....bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment