Sheria zangu 10
KATIKA makala zangu za nyuma nimekwisha kubainisha baadhi ya mambo ninayoamini kwamba ni muhimu katika kujenga elimu itakayoikomboa nchi yetu na watu wake kutoka kwenye umasikini kuelekea kwenye maendeleo.
Nimeonyesha jinsi ambavyo mipangilio yetu ni mibovu katika maeneo kadhaa, na nimetoa rai kwamba elimu tunayotoa kwa watoto wetu haiwezi kuwakomboa wala kuliendeleza Taifa letu.
Ukweli ni kwamba elimu yetu ni kivuli hafifu cha elimu ya kikoloni; imekosa ‘ubora’ uliokuwa ndani ya elimu ya kikoloni ya wakati ule na pia imekosa maudhui ya kiukombozi kwa sababu haionekani kuwa na malengo thabiti yanayoangalia mustakabali wa nchi yetu. Katikati ya vigoda viwili, elimu yetu imedondoka sakafuni....bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment