Bombo kwa Kiingereza ni : influenza
A Short English - Swahili Medical Dictionary
by T Hedley White - Churchill Livingsone 1979 page 54.
Kwenye English - Swahili Dictionary, Institute of Kiswahili Research (TUKI) University of
Dar es Salaam 1996 (toleo la kwanza) tafsiri ya influenza ni: mafua, homa ya mafua (ukurasa 402).
Kwenye English - Swahili Dictionary ya Willy A. Kirkeby (Mnorwejiani) ya 2002 tafsiri ya influenza ni: homa ya mafua makali, ukurasa wa 505.
influenza
Huu ugonjwa ni wa kawaida duniani, lakini ni hatari kama ilivyo homa ya malaria. Kwenye nchi za Kaskazini ya Dunia (Nordic countries = Denmark, Norway, Sweden, Finland, Iceland, Greenland, Visiwa vya Faeroe), huwakumba watu kwa mkupuo haswa msimu huu wa majira ya theluji. Hapa Norway bombo limewakumbuka watu wengi kuanzia mwishoni mwa Desemba na Januari hii, na inasadikiwa kuwa utaendelea kuwakumba watu siku kadhaa zijazo.
Soma zaidi kuhusu bombo:
No comments:
Post a Comment