Vigogo matajiri sasa
VYOMBO vya Dola vinachunguza ili kujua walikopata utajiri wa kutisha wa baadhi ya wanasiasa waandamizi na watendaji wa sasa na wa zamani serikalini, Raia Mwema imethibitishiwa.
Habari za uhakika kutoka serikalini zimethibitisha kwamba vyombo hivyo, ikiwamo Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) na Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) vimekwisha kuwasiliana na wahusika, baadhi yao wakiwa wametakiwa kutoa maelezo ya kina kuhusu utajiri wa kutisha walioupata wakiwa madarakani.
Sambamba na uchunguzi huo, Serikali imezifanyia marekebisho makubwa fomu za maelezo ya mali na madeni ya viongozi wa umma kwa kuongeza kipengele kinachotaka maelezo ya mali na fedha zilizo nje ya nchi, kipengele ambacho kimeelezwa kuongezwa baada ya viongozi wengi kubainika kuwa na mali na fedha nyingi nje....bofya na endelea>>>>>
No comments:
Post a Comment