Monday, February 16, 2009

Jóhanna Sigurðardóttir,

Waziri Mkuu wa Iceland.

Kiongozi wa nchi wa kwanza

duniani kuwa wazi kuhusu

ngono jinsia moja:

ni msagaji




Jóhanna Sigurðardóttir ni kiongozi nchi wa kwanza duniani kuwa wazi kuhusu ngono jinsia moja (homosexuality). Anajulikana wazi kuwa ni msagaji. Amekuwa Waziri Mkuu wa Iceland baada ya vurugu za wananchi wa kisiwa hicho kuandamana usiku na mchana, tangu ya matatizo ya kiuchumi na kifedha kuanza duniani, kuilazimisha serikali iliyopita kujiuzulu. Matatizo hayo yameikumba vibaya mno visiwa vya Iceland, kiasi cha kuiacha Iceland nusu muflisi. Matatizo ya kiuchumi na kifedha duniani, yamewafanya Waiceland wengi kuihama nchi yao na kukimbilia nchi za Skandinavia (Norway, Sweden na Denmark)

Chanzo cha habari: 

Gazeti kubwa la kila siku nchini Norway liitwalo VG (Verdens Gang)toleo la Jumapili 15 Februari 2009





2 comments:

Anonymous said...

Hivi huyu mama Waziri Mkuu anaweza kusafiri kwenda nchi za Kiarabu/Kiislamu na nchi za zenye kukataa haki za wenye kupenda ngono jinsia moja?

Anonymous said...

Mama wamo! Angalia mdomo wake...umekaa wa kulamba lamba ninihiii....