Thursday, April 09, 2009

Kuna njama za kumpiku

Kikwete?



* Baadhi wawabeza Ndejembi na wenzake

* Wengine: Kuna mbio za kumuwini Kikwete

* Wasema hoja ya msingi si urais, ni ufisadi

 

BAADHI ya wanachama waandamizi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamesema uamuzi wa kumuunga mkono Rais Jakaya Kikwete kuwania tena urais mwakani si jambo la msingi bali jambo la msingi ni hatari iliyopo ya dola kuelekea kutekwa na kikundi cha matajiri...bofya na endelea>>>>>



No comments: