Thursday, May 07, 2009

Na kama kawaida, mnono

akipaniki, mnene

anafuata nyayo



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo. 

 

VIPI huko mpenzi wangu?  Umeanza kukohoa kwa baridi? 

Angalia usiwe umepata homa mpya ya mafua mpenzi.  Mwaka huu kukohoa si kukohoa tu.  Ni kikohozi spesho kwa hiyo ukisikia homa inapanda usihemee mpenzi, hema kwa nguvu na kimbilia hospitali ili ufungwe kwa wiki kadhaa, na kama una bahati kwelikweli, watakuwa na dawa ya kukutibu kabla homa  haijapanda zaidi…bofya na soma zaidi>>>>> 

No comments: