Thursday, July 02, 2009


Idara ya ujasusi

inatafuta wahandisi

wa rada

Idara ya ujasusi ya Norway

(The Norwegian Intelligence Service = NIS),

inatafuta wahandisi wa mambo ya rada.

Kwa tangazo zima bofya na angalia:

www.finn.no

www.garuda.no

Au mpigie simu Ole Christian Stubberud wa Garuda:

+47 415 69 331

Tarehe ya mwisho ya maombi 12. Julai 2009

Tangazo hili limekuwa likirudiwa kwenye

Gazeti la Aftenposten.

Limerudiwa kwenye Aftenposten la leo

Alhamisi 2.7.2009,ukurasa wa 26 (Jobb)

Tangazo hili lilitoka mara ya kwanza

kwenye Aftenposten, Jumapili 21.6.2009

ukurasa 10 (Jobb)



No comments: