Thursday, July 09, 2009


Kanisa la katoliki

Latishwa…



Kanisa la Mtakatifu George, jijini Dar es Salaam


KUNA habari kwamba Kanisa Katoliki Tanzania limepata vitisho kutoka sehemu mbalimbali nchini ikiwa ni pamoja na kutoka kwa watu wazito ndani ya dola kutokana na mkakati wake wa kuwaandaa waumini wake kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2010, Raia Mwema limefahamishwa.

Habari za uhakika zilizothibitishwa na vyanzo mbalimbali vya kanisa hilo na serikalini zimeeleza kwamba, vitisho hivyo ambavyo vimewasilishwa katika utaratibu usio rasmi, vimelenga ‘kulikumbusha’ kanisa hilo lenye nguvu kubwa nchini kwamba kuna vyombo vyenye nguvu kuliko kanisa hilo nchini…bofya na endelea>>>>>


No comments: