Thursday, July 09, 2009

Rupia ni sabuni ya roho zao



Kwa Waziri wa Mikiki na Makeke,
Uzitoni Street,
Bongo.

Mpenzi Frank,

Vipi huko mpenzi, wewe uliye mbali na macho wangu ingawa daima u karibu na moyo wangu. Biashara inaendeleaje wakati huu wa zahama zisizoisha?

Ingawa, ukiangalia hawa waheshimiwa wa uzitoni street huwezi kujua. Wanashindana kila aina ya ufahari, kuanzia gari hadi simu hadi samani ya nyumba. Na kila kitu kinalipiwa na serikali.

Hivi nchi haiwezi kufilisika kama makampuni. Maana nashangaa hawa waheshimiwa wanapata wapi hizi pesa zote wakati wanasema nchi haina…bofya na endelea>>>>>

No comments: