Monday, July 13, 2009

Mabaki ya Yemania,

yaokotwa Mombasa



Airbus 310 ya Yemenia.


Mabaki ya ndege ya Airbus 310 ya Yemenia iliyoanguka pwani ya Komoro, yamepatika kwenye ufukwe wa pwani ya Mombasa nchini Kenya. Mpaka hivi sasa maiti 18 ambazo zinasadikiwa kuwa ni za ajali ya Yemenia zimeokotwa kwenye ufukwe wa Mafia, nchini Tanzania.


No comments: