
Hi…folks!
Someone out there is using an e-mail look like coming from Chama Cha Watanzania Oslo (CCW Oslo) to distribute chain of e-mails containing adult materials.
CHAMA CHA WATANZANIA:
chama-cha-watanzania-oslo@googlegroups.com
The e-mail doesn´t belong whatsover to the CCW Oslo.
Editor.
Chama Cha Watanzania Oslo
E-mail: tanzania@online.no
Wadau…!
Kuna mtu hatujui ni nani na yuko wapi. Anatumia barua pepe inayoonekana inatoka kwenye Chama Cha Watanzania Oslo (CCW Oslo), kutuma lundo la barua pepe zenye mambo ya kiutu uzima.
CHAMA CHA WATANZANIA:
chama-cha-watanzania-oslo@googlegroups.com
Barua pepe hiyo haina uhusiano wowote na CCW Oslo.
Mhariri wa blogu.
Chama Cha Watanzania Oslo
Barua pepe: tanzania@online.no
1 comment:
Jambo jema ndugu mhariri umefanya la kuwafahamisha wadau mapema...
Bahati mbaya hii ni moja ya athari za TEKNOlojia ya HAbari na MAwasiliano (TEKNOHAMA)
Post a Comment