Michelle na Obama
Obama akitoa hotuba kwenye maakuli jana jioni
Kutoka kushoto: Michelle, Obama, Mfalme Harald, Malkia Sonja (Sonya), Mfalme mtarajiwa Haakon na Malkia mtarajiwa Mette Marit.
Kiongozi wa chama cha Labour Bungeni, Helga Pedersen na mumewe Erik Bremli walivalia mavazi ya asili ya Kisami (Wazawa wa asili wa Norway)
Waziri Mkuu Jens Stoltenbern na mkewe Ingerid Schulerud, Willy Smith na mkewe Jada Pinkett Smith.
No comments:
Post a Comment