Friday, December 18, 2009

Norway

Marufuku kuonyesha wazi
Sigara madukani kuanzia
Januari Mosi, 2010




Kuanzia Januari Mosi, itakuwa marufuku kwa wenye maduka na wote wanaouza sigara kuzionyesha wazi wazi hapa Norway. Ina maana maduka ya vyakula, vioski, petroli stesheni na Duty Free, wanatakiwa wafiche sigara zisionekane.


Mkurugenzi mwandamizi kwenye idara ya afya, Kaja Kierulf anasema hiyo ni njia moja wapo ya kuzuia ambao hawajaanza kuvuta, wasijaribu na wanaovuta wafikirie kuacha.


No comments: