CHANGAMOTO Insha za Jamii
Kitabu hiki ni mkusanyiko wa insha nilizoandika mwaka 2009 na kuzichapisha katika gazeti la KWANZA JAMII. Vile vile kuna mahojiano niliyofanyiwa na blogu ya Bongo Celebrity, mwaka 2008. Kwa ujumla, yaliyomo ni mawazo kuhusu masuala mbali mbali ya uchumi, siasa, jamii, na utamaduni yanayoihusu Tanzania na dunia kwa ujumla – Profesa Joseph Mbele.
Product Details
ISBN | 978-0-557-24780-6 |
Publisher | Africonexion |
Copyright | ©2009 Africonexion (Standard Copyright License) |
Language | Swahili |
Publication Date | 12 januar 2010 |
Lulu Sales Rank | 161488 |
Page Count | 129 pages |
Size | U.S. Trade |
Binding | Perfect Bound |
Interior Color | Black And White |

1 comment:
Sikuwa nimeliona tangazo hili kabla. Niko hapa Tanga, na katika kurandaranda mitandaoni nimeliona. Napenda kutoa shukrani kwa kunisambazia taarifa hizi kwenye blogu hii murua.
Post a Comment