Friday, February 05, 2010


Explorer ina upenyo!



Programu ya kusoma tovuti ya Explorer ina matundu yanayoweza kusababisha kuchunguliwa na  hata kuingiliwa mlango wa nyuma (lugha ya TEKNOHAMA na si vinginevyo!) na kuibiwa data kwenye kompyuta yako.

Microsoft wenyewe ndio waliotoa taarifa za kuvuja kwa Explorer.

No comments: