Sunday, March 28, 2010

Norway

Unataka kuwa Mnorwejiani?



Kama unataka kuwa Mnorwejiani, lazima uukane uraia wako wa asili kwanza. Ni jukumu lako kufanya hivyo kwa kipindi cha mwaka mmoja.

Sheria ya uraia ya Norway, inasema kuwa mtu anatakiwa kwanza kuukana uraia wake wa asili kabla ya kupewa uraia wa Norway.

Ni vigumu kwa nchi zingine kukubali raia wake kuukana uraia na raia wa nchi hizo, wanahitajiwa wawe na vibali cha kwenda kuishi nje ya nchi, kabla hawajakuruhusu kuukana uraia. Hivyo basi unatakiwa kufuata masharti ya kuupata uraia wa Norway kwa kipindi cha mwaka mmoja.


No comments: