Njaa mwana malegeza!
Ukosefu wa mvua na mavuno na hali mbaya ya kiuchumi nchini Zimbabwe unawafanya wananchi wengi wa nchi hiyo wahahe. Hii picha inaonyesha wananchi wanaoishi karibu na mbuga ya wanyama ya Gonarezhou wakichuna nyama ya tembo kukidhi haja yao ya njaa! Picha na David Chancellor

No comments:
Post a Comment