Friday, March 29, 2013

Jengo la ghorofa 15 laanguka kwenye mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam inasadikiwa watu kadhaa waliokuwemo ndani wamefariki


Rais Jakaya Kikwete akiwa na mama Salma Kikwete wakiwasili  mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es Salaam leo hii kujionea wenyewe jengo lililoporomoka saa mbili na nusu asubuhi 29.Machi 2013. Wawtu wawili wamethibitishwa kuwa wamekufa, wawili wakiwa mahututi na 19 wamejeruhiwa. 


Rais Jakaya Kikwete akipata maelezo toka kwa mkuu wa Polisi Kanda Maalumu Dar es Salaam Kamanda Suleiman Kova na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhesh. Meck Saidi Meck Sadiki katika eneo la jengo lililoporomoka.


Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Meck Saidi Meck Sadiki (katikati) akiwasili eneo la tukio.

James Mbatia (kulia) akijadiliana jambo na mmoja wa wadau waliokuwepo kwenye tukio hilo.Mpiga picha wa magazeti ya serikali ya Daily News na Habari Leo, Mohamed Mambo akiwa kazini.

Picha zote na maelezo kwa hisani ya 


No comments: