Obama na Sarkozy
Obama: Eeeh bwana eee...check wo! wo! wo!
Sarkozy: Duh...bab´kubwa...
Picha hii imepigwa na Jason Reed wa Reuters
jana jioni kwenye mkutano wa nchi 8 zilizoendelea
na zenye viwanda, kwenye mji wa
L'Aquila nchini Italia.
Hapa Rais Obama wa Marekani sijui anamwambia
nini Rais Nicolas Sarkozy wa Ufaransa?
Picha hii itakuwa mzimu wa Obama.
Itamwandama miaka mingi ijayo!!!!
Toa maoni yako....
7 comments:
Namwonea huruma Obama, manaake Michelle ni mkali na ana hasira sanaaa. Sijui ameambia nini na Michelle.
Wanaume ni wanaume tu, dada wa watu anajiptia zake, midume imegeuka kuangalia matako ya dada wa watu....
Saa zote midume inawaza nanihiii...
OBAMA: Sarkozy, angalia vitu hivyo
SARKOZY: wooo weeee !!!!
HIVI JAMANI, NINI KINAWAFANYA WANAUME KUPENDEZEWA NA MATAKO YA WANAWAKE? HASWA WANAUME WENYE ASILI YA AFRIKA
Lakini jamani tuache uongo. Dada wa watu kajaliwa. Si haba!!!
Nadhani kwenye haya ya maumbile ya binadamu, tunatofautiana duniani.
Wenzetu wazungu (kijumla si wote) wanapenda wanawake wenye matiti makubwa na makalio madogo.
Sisi wenye Waafrika (na wote wenye asili ya Afrika) pamoja na Walatino tunapenda wanawake wenye makalio makubwa....
Sijui wanaume kutoka Mashariki ya mbali wanapenda nini..
Mwelekeo ya macho ya Obama na hasa ya Sarkozy yalikuwa kwenye matako ya huyo dada!!!
Post a Comment