Tuesday, February 16, 2010

Manispaa ya Oslo na Ski, Norway

Chemsha maji ya kunywa!

Matangi na sehemu za kusafishia maji ya kunywa Manispaa ya Oslo na Ski, hayafanyi kazi, maji ni machafu!

Hivyo wakazi wa Oslo na Ski wanashauriwa kuchemsha maji ya kunywa, kuanzia sasa hadi Alhamisi tarehe 18 Februari 2010.

Chanzo (kwa Kinorwejiani): Idara ya Maji, Manispaa ya Oslo.

Angalia pia (kwa Kinorwejiani): http://www.fhi.no/dav/e082bd5f30.pdf

1 comment:

Anonymous said...

Asante sana jamani. Hizi habari muhimu sana...