Friday, February 12, 2010

Oslo, Norway

Maandamano ya Waislamu baada
ya sala ya alasiri

Leo baada ya sala ya alasiri kumepangwa kufanyika maandamano makubwa ya Waislamu wanaopinga kitendo cha gazeti la Dagbladet kuchapisha kikatuni kinachomwonyesha Mtume Muhammad (S.A.W) kama nguruwe.

Wengi wa Waislamu wa Oslo wamenukuliwa wakisema kuwa hawatashiriki kwenye maandamano hayo, japo pia wamekasirishwa na kitendo cha gazeti la Dagbladet. 

Hadidu rejea:

No comments: